Star Wa Muziki @iamlavalava 🇹🇿 Kutokea Label Kubwa Barani Afrika @wcb_wasafi Amesafisha (Amefuta) Post Zote Katika Ukurasa Wake Wa Instagram
Hali Hii imewaacha Mashabiki Njia Panda Kwa Kujiuliza Ni Sababu Gani Iliyopelekewa Nyota Huyu Kuchukua Hatua Hiyo Bila Ya Kutoa Taarifa Yoyote Ile !
Hivyo Kwa Wale Watakaojaribu Kuifikia Akaunti Yake Hiyo Kwa Sasa Hawawezi Kutana Na Post Yoyote Ile Isipokuwa Kwenye Story Tu (Isnta- Story) Ambapo Ameandika Maneno Katika Mfululizo Wa Post Zake Yaliyosomeka 👇
" 𝐒𝐇𝐀 𝐓𝐎 𝐍𝐀 𝐈 " - Lava Lava
Je, Unadhani Itakuwa Ni Suala Gani ?
Post a Comment