Wengi tunafahamu Teknolojia inavyokuwa kwa kasi sana na wataalamu wanakwambia kuwa kila baada ya miezi 6 inaibuka teknolojia nyingine, sasa hii ni habari nzuri kwa watumiaji wa simu aina za Motorola ambapo wapo katika majaribio ya Teknolojia mpya ya “Space Charging” kifaa ambacho kinaweza kuchaji simu nne kwa wakati mmoja hata ukiwa umbali wa mita tatu.
Kifaa hicho kinatumika kuchaji simu kama unavyotumia Internet au Bluetooth, hakuna ulazima wa kuchomeka waya wa kuchajia au kuiweka katika wireless charge ya karibu na endapo itathibitika kuwa hakuna madhara kiafya kwa sababu umeme unaopita hewani baada ya kukaguliwa basi mfumo huu utaanza kutumika rasmi.
Teknolojia hii huenda tusiione kwa Motorola tu bali hata kupitia aina zote za simu kwa teknolojia ni uwanja mpana sana.
Bofya hapa chini kutazama.
https://ift.tt/3CgdWwJ
OPEN IN BROWSER
Post a Comment