Show ya kwanza ya DIAMOND Atlanta Marekani baada ya kuanza tour yake rasmi

 


Usiku wa Oct 8 huko Atlanta, Georgia nchini Marekani, Diamond Platnumz ameanza tour yake kwenye ukumbi wa Buckhead Theatre jijini humo. Hii ni sehemu ya performance yake


VIDEO




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post