Wanawake wenzangu tujikubali na Mungu alivyotuumba.Kuna muda itabidi tukubali kuwa umri umetuacha na tukubali matokeo.Mkitaka kushindana na hawa watoto wenye vitumbo vidogo tutakufa kizembe
Maana naona safari za uturuki zimekuwa nyingi sana ndugu zangu acheni kuiga Mastar wa nje hao ni matajiri nyie wenzangu chai ya rangi asubuhi na kitumbua inahusu.
Vibonge wenzangu @shamsaford tujikubali"-Ameandika @officialshilole
Una maoni gani?
Post a Comment