Ali Kiba Asijifananishe na Mimi Kabisa !, Kama Amemshindwa Diamond Platnumz Anataka Kuja Kugombana Na Watoto Wakike Huku Sasa Mimi Ndio Nitammaliza Kabisa, Maana Mimi Sina Shughuli Ndogo" Ameongea Shishi
Shilole Amesema Hayo Muda Huu Akiwa Kwenye Interview Na #MashamSham Ya @wasafifmc
Post a Comment