Kwanini amtolee ada harafu amsomeshe nje, alitakiwa kumsomesha hapa hapa, ada analipa na matumizi anampa pia, anakaa kwake, anatokea kwake, anampa Gari na anamcontrol, Sasa anaenda kumsomesha msichana long distance trade, ataangukia katika mikono ya mahandsome na watatumia pesa za rayvanny bure.
Kiukweli napata wasiwasi, hawa watu walikuwa hawapendani hata kidogo, kizembezembe tu eti umruhusu demu wako akasome nje.
AJIRA: Nafasi Mpya za Kazi Serikalini, NGOs na Makampuni Binafsi.....Bofya Hapa kutuma maombi
Ila ni faida pia, Hivi Sasa fahyma ataweza pata amani.
Ila Rayvanny akumbuke tu bongo vyuo vipo vingi, asingeruhusu Paula akasome nje watamtafuna.
By @Hopetygatz
Post a Comment