Ray C Achafukwa "Hivi Kweli Ndio Hali imefikia Hivi..ya Kutumiana Watu Kwenye Mashow na Kuzomeana Jamani?


Pichani Wasanii Burnaboy na Wizkid wakiimba jukwaa moja... Msanii Ray C ameguswa na kuandika haya:

"Umoja ni Nguvu💪Utengano ni Udhaifu..Natamani ije siku nione haya kwa wasanii wetu wapendwa wa 🇹🇿...Itapendeza sana.Itavutia mno.Inawezekana kabisa sijui tatizo nini hasa.😤Hivi kweli ndio hali imefikia hivi???? ya kutumiana watu kwenye mashow na kuzomeana jamani?Nani kajaza nani hajajaza??🙇‍♀️Kweli??wote kutoka nchi moja🇹🇿?????This is too much aisee.Haipendezi hata kidogo🙇‍♀️Mashindano kwenye biashara yoyote yapo ila sio kwa style hii...Sio sawa kabisa ...Why?To be honest Am sad.😔


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post