Netflix Wametoa Orodha ya TV Show na Filamu Zilizo Tazamwa zaidi Duniani


Netflix wametoa orodha ya TV show na filamu zilizo tazamwa zaidi kwa mujibu wa account za wateja wao.
1. Bridgerton: Season 1 Imetazamwa na account milioni 82
2. Lupin: Part 1, Imetazamwa na account milioni 76
3. The Witcher: Season 1, Account milioni 76
4. Sex/Life: Season 1, Account milioni 67
5. Stranger Things 3, Account milioni 67
6. Money Heist: Part 4, Account milioni 65
7. Tiger King: Season 1, Account milioni 64
8. The Queen’s Gambit, Account milioni 62
9. Sweet Tooth: Season 1, Account milioni 60
10. Emily in Paris: Season 1, Account milioni 58



Katika Upande wa Filamu
1. Extraction, Account milioni 99
2. Bird Box, Account milioni 89
3. Spenser Confidential, Account milioni 85
4. 6 Underground, Account milioni 83
5. Murder Mystery, Account milioni 83
6. The Old Guard, Account milioni 78
7. Enola Holmes, Account milioni 77
8. Project Power, Account milioni 75
9. Army of the Dead, Account milioni 75
10. Fatherhood, Account milioni 74




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post