Mkurugenzi wa WHO anaendelea na wadhifa wake kwa miaka mitano mingine





Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesusya alikuwa mgombea pekee aliyependekezwa na nchi 28 wanadiplomasia wa magharibi walisema Ijumaa. Mataifa hayo yanajumuisha wanachama wa Umoja wa ulaya, na nchi tatu za Afrika yaliliambia shirika la habari la Reuters


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post