Msanii wa bongo Fleva na Mtoto wa mtangazaji maarufu Tanzania kutoka Clouds Fm, Gardner G Habash, hivi sasa anatrend sana, kinachomfanya atrend ni kuhusu mimba yake, mpaka sasa hajajulikana mwanaume aliyeshiriki kumpa mimba hiyo, Watu wanahisi ni @diamondplatnumz , wengine wanahisi ni @rayvanny
Inasemekena kabla ya mimba hiyo Karen alikuwa na ukaribu sana na Diamond na hata kupelekea kualikwa kwenye baadhi ya events za Diamond, mfano ile Ya Miaka 10 ya Diamond Platnumz iliyofanyika kigoma.
Ikumbukwe kwamba karen yupo pia katika ule wimbo wa "Superwomen" ambao uko chini ya wasafi. Mbali na hayo, karen ameonekana mara kadhaa akimpost Diamond Platnumz bila sababu zozote za msingi, hii imefanya watu waunganishe Dots na kumuhusisha Diamond na Mimba hii.
HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA HAPA
Rayvanny pia anahusishwa na jambo hili la kummimba Karen kwasababu kuna video clip Vanny boi akimuita Karen, "KarenVanny" baada ya kumuita hivo karen akamkatikia na Rayvanny akambambia kwa mbali then clip ikaisha.
JE UNAHISI NANI KAMMIMBA KAREN, TIRIRIKA!
Post a Comment