Mchungaji Amuua Mkewe Aliyechepuka na Kumwambukiza Ukimwi




MCHUNGAJI George Abisa kutoka katika Kaunti ya Nyamira, huko nchini Kenya anadaiwa kumuua mkewe kwa kisu baada ya kugundua alimuambukiza virusi vya UKIMWI.

Baada kutekeleza tukio hilo la mauaji aliandika barua iliyokuwa na ujumbe ambao ulieleza kuwa mkewe alikuwa amemuambukiza VVU/UKIMWI kufuatia kuchepuka na mwanasiasa wa eneo hilo kisha na yeye kujiua.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post