Mwaka 2018 ,Aslay alikua na jina kubwa sanaa ,ilikua ukitaja Wasanii wakubwa Tanzania lazima nayeye umueke kwenye list!!
Aslay ni miongoni mwa Wasanii wenye umri mdogo ,ambao walikua wanaangaliwa na kila mtu, kwani alionyesha kuwa angefika mbali kimuziki.
Aslay ni msanii ambaye anajua kuimba sanaa na ana sauti nzuri mashaaallah, sasa sijui ndugu yetu kimemkuta nin mpaka sasa hata hatumskii tena kwenye game..
Kwa muziki wa Tanzania nipigo kubwa sanaa kumpoteza msanii Kama Aslay kwenye game, jamaa angesaidiwa tu ,arudi upya! Tuendelee kuinjoy kazi zake nzurii..
Unadhani ni nn kimesababisha Aslay apote kimuziki ,embu tujadili hili ???.
Post a Comment