Ally ni mtu ambae kukaa nae vizuri inabidi umuelewe sana na umchukulie kama alivyo. Ally ni mtu mwenye pride ya kufa mtu na dharau ya kufa mtu. Yani ukiwa fan na Ally we usisubiri eti siku moja atakuthamini au sijui nini. Inabidi umpende Ally kivyako vyako sio kwamba unadhani kuna siku atarudisha huo upendo.
Mimi Ally nampendaga kivyangu tu na sijawahi ku expect anything from him ndo maana nimeweza kuwa fan wake hadi leo hii.
Mimi Ally nshapata experience nae alivyokuja Los Angeles. Sijawahi kusema but ntasema leo. Si hizi utani zangu za kusema namtaka and so forth, so alivyokuja LA nikaenda hotelini kumcheki kama fan tu, hadi room kwake, akataka kufanya kweli, akadhani kweli nataka dyudyu la yuyu, we nikamwambia hapana siwezi. Nikamgomea kabisa. Weeeeeeeeeeeee, mbona nilikoma. Alini treat kama mavi usiku mzima, kuanzia pale hotelini hadi kwenye show 🤣🤣. Yani mpaka nilijiona groupie. Nkajiambia kimoyo moyo jamani, kwa yote niliyomfanyia si anatakiwa ayakumbuke asahau hili la mimi kugoma kutoa K. Ila wapi. Usiku mzima jamaa alini ignore. Na dongo alinipa baadae kuhusu miguu yangu🤣🤣. Na baadae nilimtumia message WhatsApp kumuomba anipelekee ka mzigo kadogo tu TZ kwa mdogo wangu @lady_danger07 aligoma. Tena ile ya kugoma kwa madharau yani.
Na vile vile alinisema vibaya kwa mtu aliekuwa anam drive. Yakanifikia. Nikapotezea tuðŸ˜.
Ila I wish angenijua. Mimi namheshimu na nampenda kishezi Ila kwenye kutoka K sitoagi aiseee. Mi ni mchoyoooooo wa kutoa K. Ntaongea maneno yooote ila ukifika muda wa kutoa yooote, hata robo sitoi 🤣. Nikitoa K ujue hapo nishapiga mahesabu marefuuuu najua kabisa situmiki 🤣.
Ndo nakwambia Esha, Ally inabidi umchukulie kama alivyo. Ana pride balaa. Yani ukifanya kitu ambacho yeye anahisi labda umemdharau basi atakufanyia madharau mara 100 yake, Utashaaa. Weee nilijuta mimi.🤣 hata ile kuniposti majuzi ujue ni aliteseka mnooo na alifanya sababu ya watu kumsema ila mimi wala sijali kupostiwa nae, nampenda tu next time wala asipate tabu ya kuniposti.
Kumpenda Ally ni kama kuipenda Chadema, fanya kwa moyo wako tu, usitegemee kuna utakachokipata.
Post a Comment