Maneno ya Mange Kimambi Kuhusu Wauza Simu Feki za IPhone Bongo Yamtoa Kwenye Reli Billnas "Naacha Kuuza Simu"




Baada ya @mangekimambi_
kuwawashia moto wauza iPhone hapa bongo kuwa ni iphone feki reactions zimekuwa nyingi sana juu ya jambo hilo

Msanii @billnass ni mojawapo ya wanaofanya biashara za simu za iPhone nchini kupitia brand yake ya NENGA TRONIX, msanii huyo amedai wiki ijayo anaanza kuuza nguo na spare za magari maana hizi simu zitamtoa roho. (Utani)

Hili ni kama jibu kwa Mange Kimambi ambaye amewaandama wauza iPhone hapa bongo kuwa wanauza fekeroo😂




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post