Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania Linah Sanga Ambaye Pia Ni Mtoto wa Mchungaji Siku Ya leo Kupitia Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram Ameshare Taarifa Kuwa Anatakani Kuingia kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Mwanaume Ambaye Tayari Ameishafunga Ndoa..
"NIMETAMANI UKE WENZA MWENZENU SIJUI KWANINI"-Ameandika Linah Sanga
Post a Comment