Klabu ya Simba imewatambulisha Mwijaku na Kay Mziwanda Kushika Nafasi ya Haji Manara


Klabu ya Simba imewatambulisha Mwijaku na Kay Mziwanda kuwa wahamasishaji wapya wa klabu hiyo, kazi aliyokuwa akiifanya pia aliyekuwa Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara.

HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Umewapokeaje wahamasishaji hawa?



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post