Msanii wa Hip Hop tokea nchini Marekani, Diewson Octave maarufu kama @kodakblack mwenye umri wa miaka 24 anayeipeperusha bendera ya Florida, amegeuka trending topic kwenye mitandao ya kijamii baada ya video clip inayosambaa kwa kasi hivi sasa ikimuonyesha akicheza na mama yake mzazi, Bi Marcelene Octave kwenye sherehe ya Birthday huku uchezaji wake ukiibua hisia za wengi.
Kwenye Video Clip hiyo inamuonyesha Kodak akimshika mama yake makalio kama vile anacheza na mpenzi wake na hakuishia hapo bali akawa anajaribu kutaka kumkiss mdomoni (watoto wa mjini wanaita kumla mate) mara mbili kitu ambacho bi mkubwa alikuwa anakikwepa.
Baada ya ujinga mwingi, Bi mkubwa anaamua kuondoka na kumuacha mwanae,lakini Kodak Black anamnyatia na kumshika tena makalio. Kitendo hiki kimelaaniwa na wengi, Baadhi ya watu kutoka Twitter
“Why I'm seeing kodak black grabbing his mom's as* on my timeline”
“No way I didn’t just see kodak black grabbing his mum cheeks???. Like what the Florida behavior is going on here wtf ???"
"Kodak Black had a vice grip on his moms ass and his niggas in the video was hyping him up and laughing. He not the only sicko that need to be put in Arkham Asylum and shot to the moon."
Post a Comment