Inasemekana MalkiaKaren ana Mimba ya Mondi Simba Mnyama Mkali

 


Msanii MalkiaKaren ambaye ni mtoto wa mtangazaji nguli hapa Tanzania, Gadner G Habash ana ujauzito mkubwa tuu ambao hata ukisikia kajifungua kesho wala usishangae. Mwenye mzigo inasemekana ni mnyama bin laden simba.

Wadau wa kufukunyua hebu mje hapa, tupeni undani wa hii tetesi.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post