Kupitia ukurasa wa Instagram wa @warnermusicsa wamepost Video ya alikiba huku ikionekana huenda star huyo ameingia makubaliano ya promotion na kampuni hiyo .
Mpaka sasa Kwa uthibitisho rasmi Waner Music walitangaza kuingia makubaliano na msanii Diamond platnumz ili kusimamia kazi zake .
Post a Comment