Makundi ya waandamanaji wanawake katika majimbo zaidi ya 50 nchini Marekani wameandamana kutaka haki ya kisheria ya kuunga mkono utoaji mimba nchini humo.
Maandamano hayo yamekuja kupiga Sheria mpya inayotoa masharti juu ya utoaji wa mimba iliyopitishwa katika jimbo la Texas, ambapo wanao unga mkono haki ya utoaji mimba nchini humo wanahofu kwamba kuweka masharti kwenye utoaji wa mimba ni kurudisha nyuma haki za kikatiba.
Hataivyo anaounga mkono swala hilo wanataka mtu awe huru kutoa mimba ya umri wowote ambao mtoto hawezi kuishi, bila kuwekewa masharti yoyote ya kisheria.
✍🏾@keviiiy.iam
Post a Comment