Wakati watu wanasubiria msanii anaefatia kutambulishwa WCB ni Hanstone yule wa kwenye Iokote.
Muda sio mrefu ameachia EP yake bila kuwa chini ya management ya WCB Wasafi.
Maswali yamekuwa ni mengi sana.
Je ameshindwa kuvumilia msoto wa benchi kama mwenzie Zuchu?
Au WCB walichoka matukio yake ya utovu wa nidhamu?
Au nini kimetokea?
Post a Comment