Hakuna Aliyemtoa Diamond Platnumz, Ni Jitihada zake Binafsi na Kuukataa Ukandamizaji wa media na Washikadau ndo Vilivyomtoa

 


Diamond Platnumz ni one of the best musician kwa sasa Afrika Mashariki na Kati.

Kumekuwa na mijadala kibao eti Mond alitolewa na yule, akatolewa na huyu na porojo nyingi za namna hiyo lakini mbona hatuoni wasanii wengine waliotolewa na hao watu mnaowataja waliofika hata robo ya alipo Diamond?

Kitu pekee kilichomtoa Mond ni focus na jitihada binafsi ya kazi. Kitu kingine ni kuhangaika kutafuta koneksheni muhimu za kikazi (sio koneksheni za video ya Tiwa na mama J) na kama akiona unamkwamisha anakotaka kwenda anakutema kiroho safi.

Kifupi jamaa ndo kachonga njia kwa wengine kuserereka lakini wanaangushwa na pupa zao.

Kuna kijana wa kuitwa Marioo, akiendelea hv anaweza karibia levo za Mond.

BTW nabii hakubaliki nyumbani



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post