Haji Manara Bwana Aendelea Kuwakalia Simba Kooni 'Basi za Simba Zilifunikwa Shumizi Nyeupe'


Ameandika Haji Manara:-

‘’Nikiwa kama Balozi wa Bidhaa Za Azam, nnayo furaha kubwa kuona @azamfcofficial wakitambulisha Benz yao itakayotumika kama Basi lao jipya la Team yao!!

Basi hili moja thamani yake unanunua Mabasi Elfu kumi ambayo tulitambulishwa wiki iliyopita kwa mbwembwe nyingi hadi kufunikwa Shumizi nyeupe 

Hongera Viongozi wa @azamfcofficial..
halaf mmefanya kimya kimya, ingekuwa jamaa zetu naona dunia hii ingesimama.
‘’


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post