HAJI MANARA amuandikia haya DIAMOND kwenye siku yake ya kuzaliwa

 


Naweza nikathubutu kusema ww ni Rafiki wa kweli miongoni mwa Marafiki zangu niliopata kuwa nao,,,,

Upo tayari kukosana na yoyote katika vita yangu,,unanijua kuwa jambo hili Haji anaweza kufanya,hili hawezi,but kwanza unasimama na Rafiki yako kisha ndio unataka kujua ilikuwaje? ( Principle namba one ya Urafiki)

Lakini kubwa tunafanana Misimamo ktk kusimamia kitu tunachoamini,na pia kujivunia Uswahili wetu.

Kiufupi Nassib mm na ww ni Mtu na Shujaa wake,,nakukubali mno kiasi kile kile unachonikubali Mwana,,,hakusemi mtu vibaya nikiwepo na even kwako juu yangu.

Niseme nn zaidi ya kukutakia kila la Kheri ktk siku hij ya Taifa ya Uzao wako Star Mkubwa zaidi Tanzania

Happy Birthday Shomvi mwenzangu.

@diamondplatnumz



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post