Habari za Kunyapia Zadai Lukamba Mpiga Picha wa Diamond Amefukuzwa Kazi, Rommy Jons Azibitisha



Inasemekana mpiga picha wa DiamomdPlatnumz Lukamba kwa sasa hana kazi, ni Muda mrefu ameonekana akiwa benchi huku nafasi yake ya kumpiga picha Diamond Platnumz ikiwa imechukuliwa na Mpiga picha wa Mbosso, Habari za Kunyapia zinasema kisa na mkasa wa kuwekwa benchi ni kuwa Jamaa anaendekeza sana Mapenzi

Katika picha aliyoposti leo kumuwishi Diamond Siku ya kuzaliwa kwake, Rommy Jons amekomment "Si umefukuzwa kazi wewe"

Kuna ukweli wowowte?😂😂👇


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post