Haijulikani kuhusu familia yake wala historia ya elimu yake.
Grand P yuko kwenye mahusiano na mwanamitindo wa nchini Ivory Coast, @eudoxieyao__ Walianza Mahusiano mnamo Agosti 2020 na walipanga kuoana mwaka huu 2021.
Wengi wanadhani kwamba mwanamitindo Eudoxie amejiweka kwa Grand P kwa ajili ya kufuata pesa zake. Walakini, amekataa uvumi huo, akisema kuwa mapenzi yake kwa mwimbaji huyo wa Guinea ni ya kweli na hajafuata pesa zake.
Eudoxie Yao (amezaliwa mnamo Juni 14) kwa sasa ana miaka 20 ni mwimbaji mahiri, mtunzi wa nyimbo, mwanamitindo.
Wawili hawa wameendelea kutrend kwenye Mitandao ya kijamii hasa kutokana na umbo la Eudoxie ambaye inasemekana alifanya 'surgery'
Kwa kuwatazama unadhani kuna mapenzi ya kweli?
Post a Comment