Vashko Sande wa Zimbabwe ameushangaza ulimwengu baada ya kumfanya mama mzazi wa mke wake(mama mkwe) kuwa mke wa pili.Hii ni baada ya kuwa kwenye penzi la siri naye kwa miaka 7.Vashko anasema ni furaha yake kuoa mama na bintiye kwani ametokea sana kuwapenda wote.
Post a Comment