Drake Amkataa Kanye West Mazima



Uhusiano kati ya Rapper Drake na Kanye West umeendelea kuwa mbaya zaidi baada ya Champagne Papi kuamuwa kum-unfollow Ye kwenye ukurasa wake wa instagram baada ya miaka mitano ya kumfuata (follow) kwenye mtandao huo.

Wawili hao wapo kwenye ugomvi  kwa muda mrefu, lakini hali hiyo haikumfanya Drake kutom-follow Kanye Instagram hadi siku ya Jumatatu wiki hii alipoamuwa kumkataa mazima.







0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post