Diamond Platnumz Kuanza Tour Yake Muziki Nchini Marekani..


Supastaa 'Naseeb' @diamondplatnumz anatupa karata yake ya kwanza leo mjini Atlanta kwenye tour yake ya kimuziki nchini Marekani.

Kwa mujibu wa ratiba yake #Diamond anatarajia kufanya show 11 nchini humo katika miji mbalimbali. Tour hiyo inayoanza leo Ijumaa Oktoba 8, itafikia tamati Oktoba 31, 2021.

Aidha, @diamondplatnumz amerejea Marekani ikiwa ni miezi kadhaa tangu akanyange ardhi hiyo, alipohudhuruia hafla ya utoaji wa tuzo za BET 2021 ambapo alikuwa anawania tuzo ya Best International Act.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post