Nyota wa muziki wa Bongoflava na Tanzania, Diamond Platnumz @diamondplatnumz amechaguliwa kuwania tuzo kubwa Duniani za MTV Europe Music Awards (MTV EMA) 2021.
Diamomd atachuana na wasanii wengine wanne kutoka Afrika, Tems (Nigeria), Wizkid (Nigeria), Focalistic (Afrika Kusini) na Amaarae (Ghana) kuwania tuzo katika kipengele cha Best African Act.
Washindi watatuzwa katika hafla itakayoandaliwa Jijini Budapest, Hungary, November 14, 2021.
Post a Comment