Fahyvanny anapitia wakati mgumu usioelezeka , anampenda Rayvanny, kibaya zaidi bado ni mdogo na inavyoonekana anapenda show off , na Rayvanny ndo alikuwa mtu sahihi sababu Rayvanny anaandamwa na camera kitu ambacho Fayvanny anapenda kuliko.
Fayvanny anaonekana kuzidiwa na stress, akili yake haijakubali kile kinachoonekana sasa. Kwa muda alikaa kimya, lakini baada ya mahusiano ya Paula na Rayvanny kuwekwa wazi, kuliibua mashambulizi zaidi ya kihisia kwake.
Kwa muda alijitokeza kukemea mahusiano fake aliyokuwa anahusishwa nayo (mfano Ibrah) na sasa ameibuka na picha mbalimbali zenye ujumbe Tata ndani yake , zingine akiwa na bastola ( Alama ya vita ) , na zingine akiwa na mavazi yenye rangi ya chui akionyesha yeye ni sehemu ya chui, jina ambalo Ex wake analitumia kisanaa.
Jana Fayvanny ameonekana akimuongelea Rayvanny kwa uzuri kuwa ni Baba Bora akipinga kauli zake za zamani alizokuwa Akimponda
Pia inasemekana kuwa ule ukaribu wa Rayvanny na Paula haupo tena kama zamani
Mwanamke akili yake haijaumbwa kuhandle pressure kubwa, mara nyingi Jambo zito likimuandama atafanya kila njia inayowezekana kuliweka Sawa, iwe njia halali au sio, Kwake poa Tu.
Sijajua Paula na Rayvanny wamependana Kiasi gani kuweza kuvuka changamoto zinazokuja mbeleni, Ila ni suala la mda tu, sote tutafurahi. FAYVANNY NA RAYVANNY BADO HAWAJAMOVE ON, STILL WANAPENDANA.
Post a Comment