Chidi Mapenzi "Uchebe Si Lolote Anatafuta Followers Instagram"

 


Mume wa zamani wa msanii wa filamu Shamsa Ford, Chidi Mapenzi amempa makavu Uchebe kwa kusema anafanya matukio ili kuongeza followers kwenye mtandao wa Instagram.

Chidi Mapenzi ameongeza kusema Uchebe ni mtu wa dini lakini nia yake ni kufikisha followers milioni 2 ndio maana anafanya matukio mengi ili kuhakikisha anawapata.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post