Burnaboy Amwambia Mama Yake Kuwa Hata Kaa Kuja Kuoa Mwanamke


Star wa muziki barani Africa kutoka Nigeria Damini Ebunoluwa Ogulu maarufu kama @burnaboygram amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia kuwa hatokuja kuoa.

Kupitia insta story yake Burna ameshare ujumbe unaosema;

“Mama yangu anachukia sana ninapomwambia kuwa sitaoa kamwe...anabadilika kuwa mwekundu”

Kwa hili #BurnaBoy anaingia kwenye orodha ya mastaa wa kubwa wa muziki Africa ambao bado hawajafunga ndoa na wapenzi wao. Kwa sasa Burna yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake wa muda mrefu Stefflon Don.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post