Baada ya Video Kuvuja Utofauti wa Nigeria Social Network vs Tanzania Waonekana

 


Week hii zimevuja sex video za Msanii mkubwa Africans Nigerian singer Tiwasavage ,akiwa na boy friend wake.

Hata hivo bado exactly ajajulikana nana kavujisha, licha ya video kurecordiwa na wao wenyewe.

Baada ya kuleak video hizo blogs ,social network, fanpage zote zimekuwa zikimfariji star huyo, na ku discourage usambazi wa video hizo.

Hiyo imekuwa tofauti sana pages, blogs, you tube channels, nchini kwetu ambazo huwa sema ,huwaponda ,kusambaza leaked video za wahanga kadhaa ambao ni public figure ndani ya Tz.

Bila kujali licha accident hizo maisha lazma yaendelee.










0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post