Alikiba amuomba msamaha Esha Buheti kwa kusahau kumshukuru jana



Baada ya tukio kumalizika aliyekuwa mwenye tukio @officialalikiba alianza kutoa shukrani kwa watu wake wa karibu pamoja na ndugu na jamaa waliohudhuria.

Kwa bahati mbaya aliwataja wote ila akamsahau muigizaji ambaye pia ni rafiki yake @esha.s.buheti hali ambayo ingemfanya ajisikie vibaya.

Kupitia Insta story ya @officialalikiba ameamua kumuomba msamaha na kusema kuwa alijisahau na sio makusudi kama ujumbe wake unavyojieleza hapo.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post