Ali Kiba Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Issue ya Kumtaka Mange Kimambi Kimapenzi Marekani



Akijibu swali la mtangazaji @mamybabytz kwenye XXL ya Clouds Fm hii leo tarehe 28/10 kuhusiana na kile alichokiandika @mangekimambi_ kuhusu Alikiba kuwa ni mtu mwenye Eagle hasiyejali wanaomsapoti na kuwa alitaka apate hadi papuchi walipokutana U.S.A😁

@officialalikiba (akicheka) amedai hafikirii kama Mange Kimambi alikuwa serious na alicho kiandika,anachofikiria ni kuwa Mange aliongea kwa utani sababu ni mtu wa utani,lakini kikubwa ni kuwa hajawahi mtaka na siku zote anamchukulia na kumpenda sana kama dada yake,mshikaji wake na si vinginevyo. Ali pia amedai kuna vitu kweli vitamjaza mate mdomoni ila si kwa Mange maana ni kama Sister ake😁.

Kingine Alikiba amedai anawaza kufanya tour ya Albamu yake kila mkoa huku akibainisha kuwa video ya wimbo wake wa Utu ataufanyia mbugani na angeomba Waziri wa utalii ampe ubalozi maana anapenda sana wanyama




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post