Album ya A Boy From Tandale ya Diamond Platnumz Kinara Spotify


Album ya #ABoyFromTandale ya @diamondplatnumz imefikisha jumla ya streams 30M katika mtandao wa #Spotify na kuwa album iliyosikiizwa zaidi Afrika Mashariki.

Pia Album hiyo iliyotoka tarehe 14 mwezi March 2018, ikiwa na jumla ya mikwaju 18 imeshika namba moja kwenye Orodha ya album zilizo na streams nyingi zaidi katika mtandao huo mpaka sasa.

1.@diamondplatnumz- A Boy From Tandale - 30.5M
2.@Rayvanny- Sounds From Africa - 26.2M
3.@mbosso_
- Definition Of Love - 3.6M
4.@NavyKenzo- Story Of The African Mob - 3.3M
5.@Vanessamdee- Money Mondays - 2.7M

✍🏾@keviiiy.iam




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post