👉 WIZKID, ndio msanii wa Africa,anaeongelewaa sanaa kwa sasa ,anazidi kupata umaarufu huu,!kutokana na maajabu anayoendelea ,kuyafanya katika MUZIKI..
👉 Album ya WIZKID"made in Lagos,imeshika nafasi ya 47,wiki hii katika Billboard 200.huko marekani.
👉"Made in Lagos delux edition " imepata streamers zaidi ya million 200,katika mtandao wa Spotify..
👉 wimbo wa Essence remix, ambao ni Kati ya WIZKID,Tembaby na Justin Bieber.badoo unaenderea kufanya vizur katika Billboard Hot100..wimbo ulishika nafasi ya47..
👉 Essence ndo wimbo ,kutoka Africa unaosikilizwa sanaa nchini Marekani,kwasasa.
👉"True love" Audio ya WIZKID ,imefikisha watazamaji million 5,kwasiku chache YouTube..
👉Matukio ya WIZKID kuuza tiket kwa muda mfupi,sehemu anazo enda kufanya show, hasa ughaibuni. mfano alimaliza kuuza tiket, kwa dakika2, pia kwa dakika 6..
👉 WIZKID amepata connection mpya ya Justin Bieber, huku tayali akiwa na uhusiano mzuriii na Drake..
Post a Comment