List Hii Imeonekana Kuongozwa na Muigizaji #DanielCraig Anayefahamika Kwa Kucheza Filamu 🎬 Za #JamesBond, Ambapo Amelipwa $100 Million Ambazo Ni Sawa Na Takribani (TSH.BILIONI 231) Kupitia Filamu Ya #KNIVESOUT
#DanielCraig Amefuatiwa na @therock Ambaye Nae Amelipwa $50M Ambazo Ni Takribani (TSH.BILIONI 115) Kupitia Filamu Ya #REDONE, Huku Nafasi Ya 3 Ikishikwa na Mkali @willsmith Akilipwa $40 Million (TSH.BILIONI 92.6) Kwenye Filamu Aliyoigiza Ya #KINGRICHARD
HII HAPA ORODHA YA WAIGIZAJI 10 WALIOLIPWA PESA NDEFU DUNIANI KUPITIA FILAMU WALIZOIGIZA
1:DANIEL CRAIG 🇬🇧 - $100M (TSH.BILIONI 231) - Knives Out
2:THE ROCK 🇺🇲 - $50M (TSH.BILIONI 115) - Red One
3:WILL SMITH 🇺🇲 - $40M (TSH.BILIONI 92.6) - King Richard
4:D.WASHINGTON 🇺🇲 - $40M (TSH.BILION 92.6) - The Little Things
5:LEONARDO DICAPRIO 🇺🇲 - $30M (TSH.BILIONI 69.4) - Don't Look Up
6:MARK WAHLBERG 🇺🇲 - $30M (TSH.BILIONI 69.4) - Spenser Confidental
7:JULIA ROBERTS 🇺🇲 - $25M (TSH.BILIONI 57.8) - Leave The World Behind
8:JENNIFER LAWRENCE 🇺🇲 - $25M (TSH.BILIONI 57.8) - Don't Look Up
9:SANDRA BULLOCK 🇺🇲 - $20M (TSH.BILIONI 46.3) - The Lost City Of D
10:RYAN GOSLING 🇨🇦 - $20M (TSH.BILIONI 46.3) - The Gray Man
Je, Kwa Hapa Bongo 🇹🇿 Unadhani Ni Muigizaji Gani Analipwa Pesa Ndefu Kwenye Filamu Anazoigiza na Itakuwa Shingapi ? 😃
Cc.✍@officialtriggah
Post a Comment