Tommy Flavour Ajibu Kuhusu Zuchu na Ibraah

 


Kutoka himaya ya ufalme Kings Music Records msanii Tommy Flavour amenyoosha maelezo kusema kwenye game kushindana na mtu japo anafurahishwa na mafanikio ya Zuchu na Ibraah na inawezekana akawa kama wao au zaidi.

Tommy Flavour amejibu hilo baada ya baadhi ya mashabiki ku-compare yeye na Zuchu kutoka WCB na Ibraah wa Konde Gang ambapo wanadai kama amepoa kwenye upande wa kazi tofauti na hao wenziye.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post