Mdogo wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe (pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.
Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
Post a Comment