Star wa Muziki Barani Afrika @rayvanny 🐆 na C.E.O Wa @nextlevelmusic_tz Ameweka Wazi Kuwa Aliomba Ruhusa Kwa @chegechigunda Kabla Ya Kumchukua @macvoice_tz
"Nilimuomba Ruhusa @chegechigunda Kabla Sijamchukua @macvoice_tz" @rayvanny
#Rayvanny Amethibitisha Hilo Kupitia #TheSwitch
Ya @wasafifm Leo
Post a Comment