Nguo ya Ndani Boxer ya Mcheza Kikapu Michael Jordan Yauzwa Kwa Sh Bilion 6


Living legend Michael Jordan anaweza kuwa Mchezaji bora wa basketball kuwahi kutokea katika historia ya mchezo huo, ambapo kupitia mafanikio na Umaarufu wake imefanya nguo yake ya ndani iliyowahi kuivaa kupigwa mnada na kuuzwa kwa $2,784 ambazo ni sawa na Billion 6.4 Tsh, na tayari shabiki mmoja wa MJ amekuwa gumzo kwa kuinunua 'Boxer' hiyo toka kwenye kampuni ya Lelands Auction siku ya Jumamosi.

Nguo hiyo iliwekwa sokoni tangu mwezi August mwaka huu na mlinzi binafsi wa Michael Jordan, John Michael Wozniack ambaye amekuwa akiuza baadhi ya vitu vya gwiji huyo wa Kikapu.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post