Nay anasema Media sasa sinajali wanawake wenye makalio makubwa sio content.
POVU limekuja baada ya Mrembo Aggness kudai anatumia laki tano matumizi ya chakula kwa siku..
Kwani Aggy kwa mnaomjua anafanya kazi gani hasa hasa yakupata laki tano kwa siku ya kula achana na kuvaa maana hata Wabunge wenyewe hawapati hizi hela.
Post a Comment