Dizaini kama @officialnandy ameshindwa kuwavumilia waja waliotiririka kwenye post yake ambayo ni Extreme close up ikimuonyesha namna alivyo bila make up.
Watu wengi wametoa maoni yao hasa wakidiss kwamba msanii huyo ni mbaya anabebwa na Make up, na kilichomsikitisha ni kuona wanawake wenzie ndio wanaomsagia kunguni zaidi huku akifananisha kitendo hicho na uchawi halisi😁.
Nandy amewajibu kuwa ni kheri awe mbaya ila awe na pesa chafu na kingine wasiongelee sura yake, waongelee pesa zake. Anadai inabidi washangae pesa zake wakisema kumbe ndio pesa ulizonazo hizo😁.
Daah sema Mama Range Rover,wasamehe bure🤪.
Post a Comment