Mwigizaji JB Atangaza Kuachia Ngazi




Ameandika;- ‘’Niliwahi kusema napumzika kufanya filamu na nitabaki kwenye tamthilia..lakini sasa Nafikiria kupumzika pia kuigiza na nitabakia nyuma ya camera kama Producer na Director
Tamthilia yangu ya #mwanamuzikiseries nafikiri itakuwa ndio ya mwisho..kuigiza..
Ni matumaini yangu kwenye kipindi chote
Tangu 1997 wakati naanza mambo hayo mpaka 2000 wakati naanzisha Jerusalem films umefurahia kazi zangu..lakini nakuahidi huo ni mwanzo tu..mengi mazuri yanakuja nikiwa nyuma ya camera’’


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post