HomeUdaku Muuaji wa George Floyd Sasa Kukata Rufaa Baada ya Kupewa Kifungo Cha Miaka 22 bymafekeche -Friday, September 24, 2021 0 Derek Chauvin aliyehukumiwa kifungo cha miaka 22.5 amedai Jaji katika Kesi hiyo alitumia vibaya nafasi yake mara kadhaa. Mauaji ya Floyd yalisababisha maandamano makubwa kote Marekani.
Post a Comment