Msanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree Amevishwa Pete ya Uchumba na Mpenzi wake, King Petrousse



Msanii wa Bongo Fleva, Rosa Ree amevishwa Pete ya uchumba na mpenzi wake, King Petrousse ambaye alimtambulisha hivi karibuni.

"Wanaona Gere 😃😃" Hatimaye Rapa Rosaree 👑 Avishwa Pete Ya Uchumba ❤ na Mpenzi King Petrousse


RosaRee Ametuthibitishia Hilo Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Aki-Share Video Iliyomuonesha Akivishwa Pete Hiyo

Congratulations Rosaree & King Petrousse ❤❤




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post