Meneja wa Diamond Amkingia Kifua Harmonize Baada ya Show zake Kukosa Watu Marekani


Moja ya ma manager wa WcB ambae pia ni mbunge na mdau wa muda mrefu wa muziki @babutale amemtetea Mwanamuziki @harmonize_tz baada ya madai ya kutijaza watu katika baadhi ya show zake huko nchini Marekani.

Akijibu swali la mtangazaji aliyetaka kusikia Maoni yake juu ya swala hilo Boss Tale amefunguka kwa kusema ni uzembe kwa wanao m'beza kwakua harmonize anapambana kukuza lugha ya kiswahili.

» “ni kukosa nidhamu tu, mtu anatoka kwenye swahili nation ,anakwenda kupambana kukuza kiswahili, wanakuja watu wachache kwenye event yake we unamlalamikia..? Unakwenda kum comprt na wasanii wanao ongea kizungu..? Ni uzembe tu, Harmonize kama harmonize anapambana kukuza lugha ya kiswahili kwahiyo nae m'beza hajui anachopitia harmonize kwenye kupambana kukuza lugha ya kiswahili ” 🗣️ @babutale «




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post