Makaburi Yafukuliwa na Mafuriko, Majeneza na Miili ya Watu Yaelea Mitaani


Majeneza ambayo yana mabaki ya miili ya Binadamu yameoneka yakiwa yamezagaa

Louisiana nchini Marekani zikiwa zimepita Wiki nne tangu majeneza hayo yaliposombwa na maji kutoka kwenye makaburi kufuatia mafuriko yaliyoambatana na Kimbunga Ida.

Inakadiriwa kuwa Majeneza 30 hadi 40 yameonekana yakiwa yamezagaa huku makaburi yakiwa tupu, baadhi ya Watu wanaendelea kutafuta Majeneza ya Ndugu zao ili wazike tena.



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post